*Athari za utandawazi*
1.Uasherati na Ngono zimeongezeka hivyo kupelekea mimba za mapema
2.Watu wengi huaribu muda mwingi kwa simu
3.kujibadilisha jinsia
4.ubinadamu kufifia.vita zikianza watu hupiga picha kusambaza badala ya kusaidia
5.Ulevi umeongezeka
6.Picha za watu wakiwa uchi husambazwa na hivyo kuwapelekea vijana kufanya mapenzi
7.Watu wametupilia utamaduni wao na kuthamini utamaduni wa kigeni
8.Vijana wengi huwahusiki kufanya kazi kwani wanaharibu muda mwingi mitandaoni
9.Uchumi umefifia kwa kiwango kikubwa.watu huthamini vitu za nchi za nje walizoziona mtandaoni na hivyo kudharau zao
10.Vijana wengi huharibu pesa mingi kwa simu wakipigia wenzao simu na hivyo kuwekeza kumekuwa kugumu sana
11.mavazi yamebadilika kwa kiasi kikubwa kwani wanawake hutembea nusu uchi.hii tabia ni ya kigeni na kitambo haingekubalika kwa waafrika
12.Wanaume kusuka nywele na kutembea na matuta yasiyo na maana yoyote.hii tabia imeigwa kwa mitandao.
13.Uhalifu na wizi wa mitandaoni umezidi kwa kiwango kikubwa na hivyo kupelekea wengi kupoteza pesa kwa matapeli